728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, September 8, 2016

  MTUHUMIWA HERMAN WAHEKE KERARYO ANATAFUTWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA WIZI

  ANATAFUTWA KWA TUHUMA ZA WIZI

  Herman Waheke Keraryo anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kugushi nyaraka na Hundi ya fedha ya Kampuni ya La Kairo Investiment Ltd ya Jijini Mwanza na kuiba amefunguliwa Jalada (RB) MW/IR/5446/2016 MWANZA.

  Mkurugenzi wa Kampuni ya La Kairo Investiment Ltd anawaomba wananchi wanaomfahamu na watakao muona mtu huyo hapo juu kwenye picha watoe taarifa haraka kwake au katika Kituo chochote cha Polisi kilicho karibu ili kuwezesha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo.

  Zawadi nono ya fedha itatolewa kwa mtu ambaye atatoa taarifa itakayowezesha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo.

  Wasiliana kwa simu no. 0786 959 400/, 0783 778 778, 0684 005 000 au toa taarifa Kituo cha Polisi kilicho karibu nawe.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MTUHUMIWA HERMAN WAHEKE KERARYO ANATAFUTWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA WIZI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top