Mtangazaji wa Clouds Tv, HUDSON KAMOGA ateuliwa Kuwa Mkurugenzi wa Mbulu
Rais Dkt John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Wakurugenzi wapya 13,katika Wakurugenzi hao wa Halmshauri,Rais amemteua Mtangazaji wa Clouds Tv, HUDSON KAMOGA Kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbulu
0 comments:
Post a Comment