728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, September 5, 2016

  MTANDAO HATARI WA MAJAMBAZI WATATU WAKAMATWA,WAKUTWA NA SILAHA 23,RISASI 835,PINGU 48,REDIO CALL 12,BULLET PROOF 3 NA SARE ZA POLISI

   Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akionesha moja ya kifaa walichokuwa wakitumia majambazi hao kuangalia wakati wa kufanya uhalifu,mbele ya waandishii wa habari (hawapo pichani) ikiwa ni sehemu ya vifaa vilivyokuwa vikitumika na majambazi.
    Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akionyesha bunduki  kwa waandishi wa habari ikiwa ni sehemu ya bunduki zilivyokuwa zikitumika na majambazi sugu .
  Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akizungumza katika viwanja vya ofisi ya kanda maalum leo jijini Dar es Salaam  na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya operesheni walioifanya na kuwakamata majambazi watatu.
   
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MTANDAO HATARI WA MAJAMBAZI WATATU WAKAMATWA,WAKUTWA NA SILAHA 23,RISASI 835,PINGU 48,REDIO CALL 12,BULLET PROOF 3 NA SARE ZA POLISI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top