728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, September 22, 2016

  Mkurugenzi wa Afrika akutana na Mabalozi wa Afrika nchini kuzungumzia ushirikiano

  Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Samuel Shelukindo (kushoto) akizungumza katika kikao na Mabalozi wanaoziwakilisha nchi za Afrika hapa nchini. Mazungumzo yao yalijikita katika kuboresha mahusiano kati ya Tanzania na nchi zao. Mkutano huo umefanyika katika Hoteli ya Slipway iliyopo Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Septemba, 2016
  Sehemu ya Mabalozi kutoka nchi za Afrika wakia kwenye Mkutano wao na Balozi Shelukindo. Kutoka kulia ni Balozi wa Uganda hapa nchini, Mhe. Doroth Samali Hyuha, akifuatiwa na Balozi wa Misri nchini, Mhe. Mohamed Yasser El shawaf na Balozi wa Msumbiji, Mhe. Monica Patricio Mussa

  Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Afrika, Bw. Suleiman Saleh wakati wa mkutano kati ya Wizara na Mabalozi wa Afrika waliopo nchini
  Mkutano ukiendelea.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mkurugenzi wa Afrika akutana na Mabalozi wa Afrika nchini kuzungumzia ushirikiano Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top