728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, September 25, 2016

  MECHI YA HISANI YA WABUNGE MASHABIKI WA YANGA NA SIMBA YA KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA TETEMEKO LA ARDHI MKOANI KAGERA LAFANYIKA UWANJA WA TAIFA

   WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia uwanjani kukagua timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga na wabunge mashabiki wa Simba katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, leo wakati mchezwa hisani ya kuchangishafedha kwa ajili wahanga watetemeko la ardhi, mkoani Kagera.Yanga walishinda bao 5-2

   WAZIR Mkuu, Kassim Majaliwa, viongozi wengine na timu wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza mechi ya hisani kuchangisha fedha kwa ajili ya wahanga wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kati ya Wabunge mashabiki ya Yanga na wabunge mashabiki wa Simba. Yanga walishinda bao 5-2
   WAZIR Mkuu Kassim Majaliwaakikagua timu kabla ya kuanza mechi ya hisani kuchangisha fedha kwa ajili ya wahanga wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kati ya Wabunge mashabiki ya Yanga na wabunge mashabiki wa Simba. Yanga walishinda bao 5-2
   .Mshambuliaji wa timu ya wabunge mashabiki wa Yanga,Ridhiwan Kikwete akiwatoka wachezaji  wabunge mashabiki wa Simba. Yanga walishinda bao 5-2

  Mshambuliaji wa timu ya wabunge mashabiki wa Yanga akiwa,Mwigulu Nchemba akiwapiga chenga wabunge mashabiki wa Simba. Yanga walishinda bao 5-2. Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MECHI YA HISANI YA WABUNGE MASHABIKI WA YANGA NA SIMBA YA KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA TETEMEKO LA ARDHI MKOANI KAGERA LAFANYIKA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top