728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, September 23, 2016

  MBUNGE WA SIMANJIRO JAMES OLE MILYA AZINDUA MADARASA MANNE YA SHULE YA MSINGI EMBOREET MARA,SIMANJIRO

  Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya akishikana mikono na  Mwanamuziki wa nchini Marekani Kristie Cooter ishara ya  uzinduzi wa  madarasa manne katika shule hiyo yaliyojengwa kwa ufadhili wa shirika lisilokua la kiserikali la Wings of Kilimanjaro.Picha na Woinde Shizza
  Mbunge wa Simanjiro James Ole Milya akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Emboreet mara baada ya kuzindua madarasa manne katika shule hiyo yaliyojengwa kwa ufadhili wa shirika lisilokua la kiserikali la Wings of Kilimanjaro.
  Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya akiteta jambo na Mwanamuziki wa nchini Marekani Kristie Cooter katika uzinduzi wa  madarasa manne katika shule hiyo yaliyojengwa kwa ufadhili wa shirika lisilokua la kiserikali la Wings of Kilimanjaro.PICHA NA WOINDE SHIZZA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MBUNGE WA SIMANJIRO JAMES OLE MILYA AZINDUA MADARASA MANNE YA SHULE YA MSINGI EMBOREET MARA,SIMANJIRO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top