728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, September 7, 2016

  MAWAZIRI KATIKA KIKAO CHA PILI CHA BUNGE LEO MJINI DODOMA

  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Harrison Mwakyembe akiwaeleza jambo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (Kushoto) Mhe. Ruth Mollel na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Dkt Abdallah Possi. Wakati wa Kikao cha Pili cha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo Mjini Dodoma.
  MWA2
  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akimueleza jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (MB) wakati wa kikao cha 2 cha bunge la Jmahuri ya Muungano wa Tanzania
  MWA3
  Naibu Waziri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Hamisi Kigwangalla akijibu swali wakati wa Wakati wa Kikao cha Pili cha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo Mjini Dodoma.
  MWA4
  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Yusuf Masauni akijibu swali wakati wa Wakati wa Kikao cha Pili cha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo Mjini Dodoma.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAWAZIRI KATIKA KIKAO CHA PILI CHA BUNGE LEO MJINI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top