728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, September 4, 2016

  Mashindano ya klabu bingwa ya netball Tanzania,UHAMIAJI WAINYUKA POLIS 44-40

   Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (pichani kushoto mstari wa mbele) akicheza muziki wa Kwaito na Wachezaji walioshiriki mashindano ya klabu bingwa tanzania ( ligi daraja la kwanza netball) yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro. Mashindano hayo yamemalizika leo kwa timu ya  uhamiaji kuibuka washindi kwa kuifunga Polisi magoli 44 kwa 40.Picha kwa hisani ya Anna Nkinda.

  Mashindano ya klabu bingwa Tanzania ( ligi daraja la kwanza netball) yamemalizika mshindi wa kwanza uhamiaji ambaye ameshinda dhidi ya polisi kwa magoli 44 kwa 40

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mashindano ya klabu bingwa ya netball Tanzania,UHAMIAJI WAINYUKA POLIS 44-40 Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top