728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, September 21, 2016

  MAKATIBU WAKUU WAFANYA ZIARA ZBC RADIO.

   Mkuu wa Watangazaji ZBC Radio Suzan Kunambi akitoa maelezo kuhusiana na Utangazaji katika ziara ya Makatibu Wakuu walioifanya katika shirika la ZBC Radio Zanzibar.
   Katibu Mkuu Kiongozi Abdulhamid Yahya Mzee kulia akiwapamoja na Makatibu wakuu mbalimbali wakisikiliza maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa ZBC Radio Ali Aboud Twalibu kushoto katika ziara walioifanya ili kutatua changamoto mbalimbali zinazokabili shirika hilo Zanzibar.
   Fundi Mkuu wa ZBC Radio Ali Aboud Twalibu akiwaonesha jambo makatibu Wakuu  katika sehemu ya kuhifadhia CD mbalimbali walipofanya ziara katika shirika la ZBC Radio Zanzibar.
  Katibu Mkuu Kiongozi Abdulhamid Yahya Mzee akiwa pamoja na Makatibu Wakuu wakimsikiliza Mkuu wa Chumba cha Kompyuta Zanzibar Leo Rabia Bakari walipofanya ziara katika Ofisi za Gazeti hilo Rahaleo Zanzibar.
  PICHANA YUSSUF SIMAI /MAELEZO ZANZIBAR.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKATIBU WAKUU WAFANYA ZIARA ZBC RADIO. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top