728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, September 21, 2016

  MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMTEMBELEA NA KUMJULIA HALI MZEE SITTA


  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel Sitta alipomtembelea na kumjulia hali jijini Dar es Salaam
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Samuel Sitta (katikati) anayeendelea vizuri na matibabu jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mke wa Mzee Sitta Mama Margaret Sitta.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMTEMBELEA NA KUMJULIA HALI MZEE SITTA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top