728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, September 20, 2016

  MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI URUSIahma


  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Luteni Jenerali Wynjones Mathew Kisamba ambaye alimtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Luteni Jenerali Wynjones Mathew Kisamba (kushoto) ambaye alimtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI URUSIahma Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top