728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, September 14, 2016

  MAJALIWA AZINDUA MIONGOZO YA MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI MJINI DODOMA


   Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza wakati alipozindua  Miongozo ya Mfumo wa Anwani za Makazi na Postikodi  Miongozo ya Mfumo wa Anwani  za Makazi na Postikodi  kwenye ukumbi wa Msekwa , bungeni mjini Dodoma Septemba 14, 2016.
   Msanii, Mrisho Mpoto akitumbuiza katika uzinduzi wa  Miongozo ya Mfumo wa Anwani  za Makazi na Postikodi uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Msekwa , bungeni mjini Dodoma Septemba 14, 2016. 
   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea bango lenye anwani na Postikodi ya makazi yake ya Dodoma baada ya kuzindua  Miongozo ya Mfumo wa Anwani  za Makazi na Postikodi  kwenye ukumbi wa Msekwa , bungeni mjini Dodoma Septemba 14, 2016.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha nakakala ya kitabu cha Miongozo ya  ya Mfumo wa Anwani za Makazi na Postikodi bada ya kuuzindua kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni mjini Dodoma Septemba 14, 2016.
  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAJALIWA AZINDUA MIONGOZO YA MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI MJINI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: MICHUZI BLOG
  Scroll to Top