728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, September 19, 2016

  mafunzo ya Mwongozo wa Uwekezaji na Usimamizi wa Miradi ya Umma yafanyika jijini Mbeya


   Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri akifungua mafunzo ya Mwongozo wa Uwekezaji na Usimamizi wa Miradi ya Umma yanayoendelea katika ukumbi wa Halmashauri ya jiji la Mbeya. Kushoto kwake ni Mhandisi Happiness Mgalula Naibu Katibu Mtendaji anayesimamia Klasta ya Miundombinu na Huduma na Dkt. Joihn Mduma, Mhadhiri Mwandamizi kutoka chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kulia kwa mgeni rasmi ni Dkt. Lorah Madete, Kaimu Nibu Katibu Mtendaji, anayesimamia Klasta ya Uchumi Jumla.
   
   Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakimsikiliza mgani rasmi (hayumo pichani)
  Washiriki wa mafunzo hayo kutoka mikoa ya Mbeya, Ruvuma, Songwe, Iringa na Njombe wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: mafunzo ya Mwongozo wa Uwekezaji na Usimamizi wa Miradi ya Umma yafanyika jijini Mbeya Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top