728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, September 16, 2016

  Madereva wa malori wa Tanzania na Kenya waliotekwa DR Congo waokolewa

  Madereva wa malori kutoka nchini Tanzania waliokuwa wametekwa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hatimaye waokolewa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo.

  Hayo ni kwa mujibu wa waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo ambaye ameiambia BBC kuwa wote wapo salama.Mwandishi wa BBC wa eneo la mashariki mwa Congo Byobe Malenga ana taarifa zaidi.CHANZO BBC SWAHILI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Madereva wa malori wa Tanzania na Kenya waliotekwa DR Congo waokolewa Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top