JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA GEITA.

Share This

Kikosi cha Brass Band kutoka Serengeti Mkoani mara kikitumbuiza wakati wa maadhimisho ya wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani ambayo kitaifa  yamefanyika mkoa wa Geita. 
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni (Mb), (Wa kwanza kulia) akipokea maandamano katika maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani  yaliyofanyika mkoa wa Geita. Wa pili kushoto ni  Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni (Mb) akisalimiana na mmoja wa walemavu aliyejitokeza kushiriki katika maadhimisho ya  Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani kitaifa, Mkoa wa Geita.
 Mmoja wa watumishi kutoka wizara ya ujenzi,uchukuzi na Mawasiliano akitoa elimu kwa wanafuzi wa shule ya msingi kalangalala walipotembelea banda la wizara hiyo wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama kitaifa mkoani Geita. 
Waendesha pikipiki (boda boda) mkoa wa Geita wakiwa katika maandamano ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama kitaifa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad