728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, September 30, 2016

  LAPF ILIVYOSHIRIKI KONGAMANO LA UWEKEZAJI MJINI MOROGORO

   Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Dk. Stephen Kebwe akizungumza katika kondamano la uwewkezaji linalofanyika mkoani Mrorogoro. (Picha na Francis Dande)
   Afisa Kumbukumbu wa LAPF, Florian Mbassa akitoa maelezo kuhusu Mfuko wa LAPF kwa mmoja wa washiriki wa kongamano hilo.
   Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Dk. Stephen Kebwe akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kondamano la uwekezaji mijini Mrorogoro.  
  Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Morogoro, Lusingi Sitta (katikati) akiwa na Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa LAPF, James Mlowe (kulia) katika mkutano wa Uwekezaji mjini Morogoro. Kushoto ni Meneja wa LAPF Kanda ya Mashariki, Sayi Lulyalya.
   Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama wa Mfuko wa Pensheni LAPF, Valeerian Mablangeti akitoa maelezo kwa watu waliofika katika kongamano la Uwekezaji mjini Morogoro.
   Afisa Kumbukumbu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Florian Mbassa akimuhudumia mwanachama wa mfuko huo. 
    Ofisa Matekelezo wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Nicholaus Johnson akitoa maelezo kuhusu mfuko wa LAPF kwa baada ya watu waliohudhuria kongamano la Uwekezaji lililofanyika mjini Morogoro.
   Prof. Samuel Wangwe akitoa mada katika kongamano la Uwewekezaji mkoani Morogoro.
   Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela (katikati) akifuatilia mada katika kongamano hilo.
  Maofisa wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Benki ya CRDB.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: LAPF ILIVYOSHIRIKI KONGAMANO LA UWEKEZAJI MJINI MOROGORO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top