728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, September 18, 2016

  KUTOKA VOA SWAHILI: Zulia Jekundu S1 Ep 94: Miley Cyrus, Natalie Portman, Kylie Jenner, Zendaya and Taylor Swift

  Zulia Jekundu ni kipindi cha televisheni cha kila wiki ambacho hukuletea habari mbalimbali za burudani zinazotamba. Humu utapata kujua juu ya habari za mastaa zinazogonga vichwa vya habari, kujua baadhi ya wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa wiki husika na hata filamu 5 zilizoongoza kwa mauzo katika wiki hiyo Wiki hii, sikiliza alichosema Miley Cyrus, mabadiliko katika maisha ya mcheza sinema Natalie Portman,alichofanya Dada mdogo wa Kim Kardashian,kauli ya Zendaya juu ya ubaguzi wa rangi na pia Tay;or Swift na nyota wengine waliowabwaga wapenzi wao KARIBU
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KUTOKA VOA SWAHILI: Zulia Jekundu S1 Ep 94: Miley Cyrus, Natalie Portman, Kylie Jenner, Zendaya and Taylor Swift Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top