728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, September 29, 2016

  Kongamano la wadau wa mafuta na gesi kuhusu sera ya uzawa lafanyika jijini Dar es salaam

   Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt.Medard Kalemani(katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird, Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bi. Beng’i Issa, Mkurugenzi wa Shirika la TradeMark East Afrika Bw.John Ulanga na kamishna Msaidizi wa umeme kutoka wizara ya nishati na madini Mhandisi John Luoga.
  get3
  Mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird akizungumza na wadau wa mafuta na gesi kuhusu  sera ya uzawa katika mradi wa Liquidfied natural gas (LNG) uliofanyika katika ukumbi wa mwalimu nyerere jijini Dar es Salaam.
  get4
  Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt.Medard Kalemani akizungumza na wadau wa mafuta na gesi kuhusu sera sera ya uzawa katika mradi wa Liquidfied natural gas (LNG)uliofanyika katika ukumbi wa mwalimu nyerere jijini Dar es Salaam.
  get5
  Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt.Medard Kalemani akizungumza na wadau wa mafuta na gesi kuhusu sera sera ya uzawa katika mradi wa Liquidfied natural gas (LNG)uliofanyika katika ukumbi wa mwalimu nyerere jijini Dar es Salaam.
  get1
  Mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird (kushoto) akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt.Medard Kalemani(kulia) wakati walipokutana kuzungumzia masuala ya mafuta na gesi katika sera ya mzawa katika mradi wa Liquidfied natural gas (LNG)uliofanyika katika ukumbi wa mwalimu nyerere jijini Dar es Salaam.
  Picha na Daudi Manongi,MAELEZO
  get2
  Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bi. Beng’i Issa akizungumza na akizungumza na wadau wa mafuta na gesi kuhusu sera sera ya uzawa katika mradi wa Liquidfied natural gas (LNG) uliofanyika katika ukumbi wa mwalimu nyerere jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Kongamano la wadau wa mafuta na gesi kuhusu sera ya uzawa lafanyika jijini Dar es salaam Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top