728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, September 13, 2016

  KITUO KIKUU CHA MABASI CHA MKOA WA RUVUMA KUHAMISHIWA MSAMALA

  Hatimaye mvutano wa baadhi ya wanasiasa na wananchi kuhusu kuirejesha tena stendi kuu ya Mabasi kati kati ya mji wa Songea badala ya kuendelea kuwepo eneo la Msamala umefikia kikomo, Ni baada ya Kamati ya wataalamu mbalimbali wa Manispaa ya Songea kutoa ripoti yao ya utafiti na kupendekeza stendi ya Msamala kuwa kituo kikuu cha Mabasi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KITUO KIKUU CHA MABASI CHA MKOA WA RUVUMA KUHAMISHIWA MSAMALA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top