728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, September 19, 2016

  KENYA YAKABIDHI MSAADA WA MABLANKETI 400 KWA WAATHIRIWA NA TETEMEKO LA ARDHI MKOANI KAGERA

   Balozi wa Kenya nchini Tazania Chirau Ally Mwakwere aliyemuwakilisha Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta  akikabidhi msaada wa mablanketi 400 kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salumu Kijuu kutoka Serikali ya Kenya kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani   Kagera                         
   Balozi wa Kenya akikabidhi magodoro 100 kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwaajili ya wahanga wa tetemeko Kagera. 
   Askari wa Kenya wakishusha msaada wa magodoro kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kagera.PICHA NA  EDITHA KARLO GLOBU YA JAMII BUKOBA  
   


   Askari wa Kenya wakishusha msaada wa magodoro kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kagera

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KENYA YAKABIDHI MSAADA WA MABLANKETI 400 KWA WAATHIRIWA NA TETEMEKO LA ARDHI MKOANI KAGERA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top