728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, September 1, 2016

  Kampuni ya TTCL yasogeza huduma na bidhaa anuai kwa wadau TCRA

   Maneja Usambazaji wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Robert Noel (kulia) akionesha kwa mmoja wa wateja baadhi ya bidhaa za mawasiliano ya intaneti zinazotolewa na kampuni hiyo katika maonesho ya bidhaa na huduma mbalimbali za TTCL, kwenye Jengo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) leo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wateja waliotembelea maonesho ya bidhaa na huduma mbalimbali zinazotolewa na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) akihudumiwa kwenye Jengo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) leo jijini Dar es Salaam. Kikosi cha wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kilichofanya maonesho ya bidhaa na huduma mbalimbali zinazotolewa na shirika hilo kwa wadau kwenye Jengo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) leo jijini Dar es Salaam. Mmoja wa maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) akitoa ufafanuzi kwenye maonesho ya bidhaa na huduma mbalimbali zinazotolewa na shirika hilo kwa wadau kwenye Jengo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) leo jijini Dar es Salaam. Sehemu ya kikosi cha wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kilichofanya maonesho ya bidhaa na huduma mbalimbali zinazotolewa na shirika hilo kwa wadau kwenye Jengo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) leo jijini Dar es Salaam kikiwa katika picha.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Kampuni ya TTCL yasogeza huduma na bidhaa anuai kwa wadau TCRA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top