728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, September 23, 2016

  JK ATUNUKIWA TUZO YA UONGOZI WA KISIASA NA UTETEZI

   Rais  Mstaafu dKT. Jakaya Mrisho Kikwete  akipokea Tuzo ya  Uongozi wa Kisiasa na  Utetezi kutoka kwa  Mkurugenzi Mtendaji wa  Speak Up Afrika  Bi Kate  Campana,  katika hafla iliyofanyika siku ya Alhamis  New York Marekani. Tuzo hiyo  ni kutambua jitihada na juhudi zake za kufikisha huduma za jamii hususani  afya kwa   kwa wanawake na watoto.
   .Rais Mstaafu  Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  baada ya  kupokea Tuzo yake akirejea kwenye kiti chake

  Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza  baada ya kukabidhiwa Tuzo yake  na katika shukrani zake za kukubali   Tuzo hiyo, amesema Tuzo hiyo ni kwa watoto wote wa Afrika ambao ndio  wamemwezesha yeye kupata Tuzo .


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: JK ATUNUKIWA TUZO YA UONGOZI WA KISIASA NA UTETEZI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top