728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, September 5, 2016

  ILIVYOKUWA KWENYE USIKU WA BWANA BALIYANGA NA MISS PENINA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA.


  Jana Septemba 04, 2016 ilikuwa siku njema kwa waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza, Bwana Robson Mkesha Baliyanga na Miss Penina Mkama, baada ya kufunga ndoa takatifu katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza, chini ya Mchungaji Kiongozi Dkt.Daniel Moses Kulola.

  Baada ya ndoa, Hafla ilifanyika kwenye Ukumbi wa Maendeleo House Jijini Mwanza, kama picha inavyoonesha maharusi wakiingia Ukumbini.
  Na BMG
  Maharusi, Bwana Robson Mkesha Baliyanga (kushoto) na Miss Penina Mkama (kulia) wakiingia ukumbini
  Mc Joel Maduka, akitoa mwongozo kabla maharusi kuingia ukumbini
  Mwenyekiti wa kamati ya harusi (kushoto) akiwakaribisha maharusi
  Mchungaji wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya, Dkt.Daniel Kulola, akifungua sherehe kwa maombi
  Maharusi wakikata utepete kuingia ukumbini
  Maharusi wakilishana keki, ishara ya upendo
  Mwanamke heshima
  Wasimamizi/Wapambe wa maharusi nao wakilishana keki
  Maharusi na wapambe wao
  Maharusi wakinyweshana shampeni
  Ndugu, jamaa na marafiki wakiwapongeza maharusi
  Ndugu, jamaa na marafiki wakiwapongeza maharusi
  Mwenyekiti wa kamati ya harusi akitoa neno kwa maharusi
  Kamati ya harusi
  Kamati ya harusi
  Wageni waalikwa
  Waalikwa
  Taswira ukumbini
  Bonyeza HAPA Kwa Picha za Kanisani
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: ILIVYOKUWA KWENYE USIKU WA BWANA BALIYANGA NA MISS PENINA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top