728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, September 2, 2016

  Idara ya Habari -MAELEZO yakabidhiwa tuzo ya utambuzi wa kutangaza shughuli mbalimbali za makumbusho na historia nchini.


  Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Prof. Audax Mabulla (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Idara ya habari-MAELEZO Bw. Hasaan Abbasi tuzo ya ushiriki wa idara hiyo katika kisaidia kutangaza shughuli mbalimbali za makumbusho na historia nchini.Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Hassan Abbasi akiangalia tuzo aliyokabidhiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho Prof. Audax Mabulla(kushoto) ya kutambua ushiriki wa idara hiyo katika kisaidia kutangaza shughuli mbalimbali za makumbusho na historia nchini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Idara ya Habari -MAELEZO yakabidhiwa tuzo ya utambuzi wa kutangaza shughuli mbalimbali za makumbusho na historia nchini. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top