728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, September 5, 2016

  HIVI NDIVYO MDAU ABRAHAM MOSSI NA RACHEL KISSUI WALIVYOAMUA KUUKACHA UKAPERA MWISHONI MWA WIKI JIJINI DAR

   Bw. Harusi Abraham Mossi na Mkewe Bi. Rachel Kissui wakiingia Kanisani tayari kwa Ibada ya Ndoa yao iliyofungwa katika Kanisa la Katoriki la Mtakatifu Isidori Bakanja, Parokia ya Boko Jijini Dar es salaam, mwishoni mwa wiki.ia kanisani.
   Maharusi na wapambe wao.
   Ibada kabla ya ndoa.
   Wadau.
   "Abraham Mossi umekubali kumuoa Rachel Kissui?"
  "Rachel Kissui umekubali kuolewa na Abraham Mossi?"
   Bw. Harusi akimvisha pete mkewe.
   Mke akimvisha pete mumewe.
  "Sasa ni mwili mmoja" Abraham na Rachel mwanzo mwisho....
   Tabasamu la nguvu baada ya kumamilisha tendo muhimu katika maisha.
   Hapo viti??
   Bw. Harusi Abraham Mossi akimwaga wino, kwa muongozo wa Padri humu mamsapu wake akimshuhudia.
   Bi. Harusi Rachel Kissui akimwaga wino pia.
   "Unajua nini My Wife, leo ni bonge la siku kwetu"
   Kicheki cha kiaina.
   Maharusi na Familia zao.

   Kamati maalum iliyosimamia vitengo vyote katika harusi hiyo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HIVI NDIVYO MDAU ABRAHAM MOSSI NA RACHEL KISSUI WALIVYOAMUA KUUKACHA UKAPERA MWISHONI MWA WIKI JIJINI DAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top