728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, September 19, 2016

  HAPPY BIRTHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA.

  Aziongezewa zawadi ya Mbwa mlinzi Domo Baya Bulldog) !
  Pia apewa sanamu la mbwa kuweka getini kutaadharisha wageni

  Siku kama ya leo 19 September ndio siku ya kuzaliwa mkuu wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU ya kule ujerumani, Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja (pichani) alizaliwa mjini Dar-es-Salaam, akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi.Moza Hassan Seif Mpili (Mama Makunja), Mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja leo ndio Happy Birthday !!!!! yake
  Pia amepewa zawadi ya mlinzi mwingine mbwa aina ya Bulldog ,mbwa huyo ana umri wa mwaka moja na nusu amepewa mafunzo maalumu na ana uwezo wa kukimbia mita 300 kwa sekunde 4,akukung'ata ni sawa.

  na kudondokewa na chuma kilo 40 pia ananguvu ya kasi ya kuangusha
  kupiga kikumbo kilo 75,mkuu huyo wa Ngoma Africa band apewa pia sanamu la mbwa kwa kuweka getini kwa kutaadharisha watu.

   pia unaweza kuburudika na kusherekea naye katika kambi yao FFU-Ughaibuni at http://www.ngoma-africa.com au www.ngoma-africa.com
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HAPPY BIRTHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top