728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, September 19, 2016

  HALI YA BARABARA UKANDA WA KUSINI MWA TANZANIA


  Daraja la Lumesule likiwa katika hatua ya ujenzi katika barabara ya Mangaka – Lumesule – Nakapanya (70.5km).

  Sehemu ya barabara iliyo kamilika kwa kiwango cha lami ya Namtumbo – Tunduru.
  Sehemu ya barabara iliyo katika hatua ya awali ya ujenzi ya barabara ya Namtumbo – Tunduru kwa kiwango cha lami: Lot 2: Kilimesera – Matemanga section (68.2 km).

   Barabara ya Mangaka – Mtambaswala (65.5km) iliyo katika hatua za mwisho kukamilika kwa kiwango cha lami.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HALI YA BARABARA UKANDA WA KUSINI MWA TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top