728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, September 20, 2016

  GEREZA LA WILAYA TUKUYU MAHIRI KWA KILIMO CHA CHAI MKOANI MBEYA

  Wafungwa wa Gereza Tukuyu, Mkoani Mbeya  wakivuna chai katika Shamba la Gereza hilo kama inavyoonekana katika picha.
  mage1
  Mkuu wa Gereza Tukuyu, Mkoani Mbeya, SSP. Prosper Kinyaga akionesha  sehemu ya  eneo lenye ekari 26  linaloendesha Kilimo cha chai katika gereza hilo.
  mage3
  Muonekano wa baadhi ya mashamba ya Kilimo cha chai katika Gereza Tukuyu. Gereza hilo lilijengwa mwaka 1994 na shughuli zinazofanyika ni Kilimo cha chai, Kilimo cha Migomba, Bustani za mbogamboga pamoja na Utunzaji wa mazingira kwa upandaji miti na ufugaji wa samaki kwa majaribio(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: GEREZA LA WILAYA TUKUYU MAHIRI KWA KILIMO CHA CHAI MKOANI MBEYA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top