728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, September 7, 2016

  Fwd: RAIS MUSEVENI WA UGANDA AWASILI DAR ES SALAAM JIONI HII TAYARI KWA MKUTANO WA VIONGOZI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

   Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam leo jioni ya Septemba 7, 2016   tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo utaofanyika ukumbi wa mikutano wa Ikulu
    Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na  Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakiingia ndani  na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt Augustine Mahiga (kushoto) mara mgeni huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam leo Septemba 7, 2016 tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho  katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu
   Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam jioni ya leo Septemba 7, 2016  tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu
   Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na  Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakiwa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt Augustine Mahiga (kuia) na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Plilip Mpango (kushoto) mara mgeni huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam leo Septemba 7, 2016 tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho  katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu
  Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo na  Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam leo Septemba 7, 2016 tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho  katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Fwd: RAIS MUSEVENI WA UGANDA AWASILI DAR ES SALAAM JIONI HII TAYARI KWA MKUTANO WA VIONGOZI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top