728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, September 23, 2016

  DK. SHEIN AONGOZA SHERE ZA ELIMU BILA MALIPO ZANZIBAR

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali Iddi mara alipowasili katika Maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu Bila malipo, sherehe zilizofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 23/09/2016.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika sherehe zaa maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu Bila malipo zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 23/09/2016.
  Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Nd,Mmanga Mjengo Mjawiri (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakiwa katika sherehe za miaka 52 ya Elimu bila Malipo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studum Mjini Unguja,mgen rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 23/09/2016.
  Walimu wa Skuli mbali mbali za Unguja na Pemba wakiwa katika sherehe za miaka 52 ya Elimu bila Malipo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studum Mjini Unguja,mgen rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 23/09/2016.
  Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria katika maadhimisho ya sherehe za miaka 52 ya Elimu bila Malipo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studum Mjini Unguja,mgen rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 23/09/2016.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwapungia mkono wanafunzi wa Skuli mbali mbali za Unguja na Pemba waliopita mbele ya Jukwaa kubwa katika uwanja wa Amaan Studium kwa maandamano wakati wa sherehe za Elimu Bila Malipozilizofanyika leo, [Picha na Ikulu.] 23/09/2016.
  Wanafunzi wa Skuli ya SOS wakiwa katika maandamano wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 52 ya Elimu Bila Malipo, zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.] 23/09/2016.
  Wanafunzi wanawake wa Skuli ya Ben Bella Secondary wakiwa katika maandano kusherehekea miaka 52 ya Elimu bila Malipo sherehe zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.] 23/09/2016.
  Wanafunzi wa Skuli za Mkoa wa Mjini Magharibi wakibeba bango lilalotoa ujumbe kumpa “heko Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa kuimarisha Elimu na Michezo”wakati wa maandamano ya kusherehekea maadhimisho ya miaka 52 ya Elimu bila Malipo,sherehe zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.] 23/09/2016.
  Wanafunzi wa Skuli za Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika maandano kusherehekea miaka 52 ya Elimu bila Malipo sherehe zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.] 23/09/2016.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DK. SHEIN AONGOZA SHERE ZA ELIMU BILA MALIPO ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top