728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, September 29, 2016

  DC BUKOBA AONGEA NA BARAZA LA MADIWANI,ATEMBELEA MAENEO YANAYOFANYIWA UKARABATI  Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Bw. Deodatus Kinawiro akikagua ujenzi wa miundombinu iliyoharibiwa na tetemeko la ardhi mkoani Kagera.

  -Baadhi ya Madiwani wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Bw. Deodatus Kinawiro wakati wa kikao cha dharura cha baraza hilo.


  Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Bw. Deodatus Kinawiro akikagua ujenzi wa miundombinu iliyoharibiwa na tetemeko la ardhi mkoani Kagera.

  -Baadhi ya Madiwani wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Bw. Deodatus Kinawiro wakati wa kikao cha dharura cha baraza hilo.

  Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Bw. Deodatus Kinawiro akiongea na walimu wa shule ya msingi Kashai alipowatembelea ili kuona maendeleo ya wanafunzi baada ya taarifa za upotoshaji zilizotolewa na moja ya kituo cha televisheni nchini kuwa shule hiyo imefungwa kutokana na athari za tetemeko la ardhi mkoani Kagera.


  5Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Bw. Deodatus Kinawiro akiongea na walimu wa shule ya msingi Kashai alipowatembelea ili kuona maendeleo ya wanafunzi baada ya taarifa za upotoshaji zilizotolewa na moja ya kituo cha televisheni nchini kuwa shule hiyo imefungwa kutokana na athari za tetemeko la ardhi mkoani Kagera.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DC BUKOBA AONGEA NA BARAZA LA MADIWANI,ATEMBELEA MAENEO YANAYOFANYIWA UKARABATI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top