728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, September 4, 2016

  BWANA ROBSON BALIYANGA NA MISS PENINA MKAMA WA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA WAFUNGA PINGU ZA MAISHA.


  Waumini wawili wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabsaba Ilemela Jijini Mwanza, Bwana Robson Mkesha Baliyanga (katikati) na Miss Penina Mkama (kushoto) leo Septemba 04,2016, wamefunga ndoa (pingu za maisha) takatifu.

  .Ibada ya ndoa hiyo imefanyika katika Kanisa hilo na kuuongozwa na Mchungaji Kiongozi, Dkt.Daniel Moses Kulola. Tafrija inafanyika jioni kwenye ukumbi wa Maendeleo House uliopo Iloganzara Jijini Mwanza.

  "Mungu akasema; Si vyema mtu huyu awe peke yake, Nitamfanyia mtu wa kufanana naye". Mwanzo 2:18

  Na BMG.

  Bwana harusi akifanya utambuzi wa mkewe, kabla ya ndoa kufungwa


  Maharusi wakiingia kanisani.

  Maharusi wamependeza vyema


  Ujumbe umepokelewa duniani na mbinguni.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BWANA ROBSON BALIYANGA NA MISS PENINA MKAMA WA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA WAFUNGA PINGU ZA MAISHA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top