728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, September 27, 2016

  Balozi Korea amtembelea Katibu Mkuu Katiba na Sheria

  Balozi wa Korea nchini Mhe. Geum-Young Song akimsikiliza Katibu  Mkuu wizara ya Mambo ya Katiba na Sheria Prof Sifuni Mchome alipomtembelea ofisini kwake jijini Dsm leo .
  bako2
  Katibu  Mkuu wizara ya Mambo ya Katiba na Sheria Prof Sifuni Mchome akizungumza na Balozi wa Korea nchini Mhe. Geum-Young Song alipomtembelea ofisini kwake jijini Dsm leo .
  bako3
  Balozi wa Korea nchini Mhe. Geum-Young Song akimkabidhi zawadi Katibu  Mkuu wizara ya Mambo ya Katiba na Sheria Prof Sifuni Mchome Ofisini kwake jijini Dsm leo mara baada ya kumaliza mazungumzo yao
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Balozi Korea amtembelea Katibu Mkuu Katiba na Sheria Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top