728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, August 10, 2016

  WIZARA YA ARDHI YAANZA KAMPENI UHAMASISHAJI KULIPA KODI YA PANGO NCHI NZIMA  Rahma Moyo Mwanafunzi wa mafunzo kwa vitendo kutoka chuo cha Mt. Agustine Mwanza anayejifunza katika Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi, akibandika stika kwenye gari la mmoja wa wakazi wa Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya uhamasishaji kulipa kodi ya pango la ardhi itakayoendelea nchi nzima. Kampeni hiyo ilizinduliwa katika uwanja wa Mbagala Zakhem leo. (Imeandaliwa Okanda Blogspot)


  Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mboza Lwandiko akiwagawia vipeperushi wakazi wa Dar es Salaam leo, katika uwanja wa Zakhem Mbagala, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya uhamasishaji kulipa kodi ya pango la ardhi itakayoendelea nchi nzima.

  Rahma Moyo Mwanafunzi wa mafunzo kwa vitendo kutoka chuo cha Mt. Agustine Mwanza anayejifunza katika Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi, akimpa vipeperushi mfanyabiashara wa Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya uhamasishaji kulipa kodi ya pango la ardhi itakayoendelea nchi nzima. Kampeni hiyo ilizinduliwa katika uwanja wa Mbagala Zakhem leo.

  Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi, Mboza Lwandiko akiwagawia vipeperushi wakazi wa Dar es Salaam leo, katika uwanja wa Zakhem Mbagala, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya uhamasishaji kulipa kodi ya pango la ardhi itakayoendelea nchi nzima.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WIZARA YA ARDHI YAANZA KAMPENI UHAMASISHAJI KULIPA KODI YA PANGO NCHI NZIMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top