728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, August 15, 2016

  WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO ZIARANI LUSHOTO KUKAGUA MIRADI YA UMEME VIJIJINI


  Sehemu ya wakazi wa eneo la Mlola wilayani Lushoto mkoani Tanga wakifuatilia hotuba iliyokuwa inatolewa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani)
  Sehemu ya wakazi wa eneo la Mlola wilayani Lushoto mkoani Tanga wakifuatilia hotuba iliyokuwa inatolewa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani)
  Kiongozi wa Kikundi cha Wazee wa Utamaduni cha Mlola, Khalfan Bakari (kushoto) akitoa maoni yake mbele ya Waziri wa Nishati na Madini,Profesa Sospeter Muhongo (kulia)
  Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati) akipanda mti wa kumbukumbu katika eneo la Lukozi wilayani Lushoto mkoani Tanga.


  Waziri wa Nchi - Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, January Makamba akielezea hali ya upatikanaji wa umeme katika jimbo lake, mara Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhogo alipofanya ziara katika jimbo lake. Profesa Muhongo yupo mkoani Tanga kwa ajili ya kukagua miradi ya umeme vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) pamoja na kuzungumza na wananchi.
  Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na wakazi wa Bumbuli (hawapo pichani) mkoani Tanga
  Mbunge wa Lushoto, Shaban Shekilindi akielezea utekelezaji wa miradi ya usambazji wa umeme vijijini inayotekelezwa na REA katika jimbo lake mbele ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na wakazi wa jimbo hilo (hawapo pichani)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO ZIARANI LUSHOTO KUKAGUA MIRADI YA UMEME VIJIJINI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top