728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, August 5, 2016

  WAZIRI SIMBACHAWENE AKAGUA BANDA YA SSRA,MAONESHO YA NANE NANE VIWANJA VYA NGONGO LINDI

   
   Waziri wa Tamisemi,George Simbachawene  akisaini Kitabu cha Wageni huku akipata Maelezo Ya Shughuli mbalimbali zinazofanywa na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii(SSRA)toka kwa Sarah Msika wa SSRA,wakati Akikagua Baadh ya Maonesho ya 3 Kitaifa Kanda ya Kusini Lindi na Mtwara
   Picha ya pamoja kati ya watumishi wa SSRA na Baadhi ya wadau waliotembelea Banda Hilo Ikiwemo wakulima waliotembea Kujifunza jinsi Mifuko ya Jamii Inavyojiendesha Chini ya Usimamizi wa Mamlaka Hiyo
   Mmoja wa Wanachama wa Mifuko ya Jamii Ambae alijitambulisha Kwa Mstaafu Mtarajiwa Akipokea Vipeperushi vya Mamlaka Hiyo Toka kwa Sarah Msika
   Afisa Uhusiano na Uhamasishaji SSRA,Ally Masaninga akikabidhi Zawadi kwa Bi Saida,Afisa Vijana Mkoa wa Lindi Alietembelea Banda la Mamlaka Hiyo katika Viwanja Vya Ngongo Lindi Manispaa
  .Waziri Simbachawene akipokea Vipeperushi mbali kuhusiana na Shughuli zinazotekelezwa na Mamlaka Hiyo.Picha na Na ; Abdulaziz ,Lindi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI SIMBACHAWENE AKAGUA BANDA YA SSRA,MAONESHO YA NANE NANE VIWANJA VYA NGONGO LINDI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top