728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, August 18, 2016

  WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI NA VIONGOZI WA MANISPAA YA ILALA


  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Julius Kambarage Nyerere baada ya kuzngumza na Viongozi na Watumishi wa Manispaa ya Ilala Agosti 18, 2016. Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda (kulia kwake), Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es salaam, Teresia Mmbando (kushoto) , Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam, Ramadhani Madabida (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sophia Mjema . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi na Watumishi wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es salam kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016.
  Baadhi ya Viongozi na watumishi wa Manispaa ya Ilala wakisikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Baadhi ya Viongozi na watumishi wa Manispaa ya Ilala wakisikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI NA VIONGOZI WA MANISPAA YA ILALA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top