728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, August 19, 2016

  WAZIRI MKUU, MAJALIWA AKUTANA NA MKURUGENZI WA BENKI YA DUNIA NCHINI.

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mkurugenzi wa Benki ya Dunia Nchini, Bi. Bella  Bird  kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016. 
    Waziri Mkuu, Kassim Maajliwa akizungumza  na  Mkurugenzi wa Benki ya Dunia Nchini, Bi. Bella  Bird, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016. 
  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU, MAJALIWA AKUTANA NA MKURUGENZI WA BENKI YA DUNIA NCHINI. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top