728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, August 19, 2016

  WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA TEC  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Tercius Ngalalekumtwa kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda, Renatus Nkwande (katikati) na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Tercius Ngalekumtwa kabla ya mazungumzo yao , Ofisini kwake jijini Dar es alam Agosti 18, 2016.


  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Tercius Ngalekumtwa (kushoto kwake), Askofu Renatus Nkwande wa Jimbo Katoliki la Bunda (wapili kulia) na katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padri Raymond Saba (kulia), Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Tercius Ngalekumtwa (kushoto kwake), Askofu Renatus Nkwande wa Jimbo Katoliki la Bunda (wapili kulia) na katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padri Raymond Saba (kulia), Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA TEC Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top