728x90 AdSpace

 • Habari za hivi Punde

  Saturday, August 20, 2016

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awasili Mpanda kwa ziara ya kikazi mkoani humo eo

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwapungia wananchi wa Mkoa wa Katavi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kikazi mkoani humo leo Agosti 20, 2016. 
   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Vijana wa CCM baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara  ya kazi mkoani Katavi leo Agosti 20, 2016. 
     Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na baadhi ya  wananchi wa mkoa wa Katavi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kazi mkoani humo leo Agosti 20, 2016.
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na baadhi ya  wananchi wa mkoa wa Katavi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kazi mkoani humo leo Agosti 20, 2016.
  Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awasili Mpanda kwa ziara ya kikazi mkoani humo eo Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top