728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, August 3, 2016

  WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA NA STENDI YA MSAMVU MOROGORO

   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe  Mary wakiteremka kuelekea eneo la kuchinjia ng'ombe katika kiwanda cha nyama Ngulu Hills Ranch kilichopo Morogoro wakati walipokitembelea kiwanda hicho Agosti 3, 2016. 
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia) wakikagua eneo la kuchinjia ng'ombe katika kiwanda cha nyama cha Nguru Hills Ranch cha Morogoro Agosti 3, 2016. Kushoto ni Mkurugenzi na Mshauri wa Kiwanda hicho, Danstan Mrutu.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakizingumza na Mkurugenzi na mshauri wa kiwanda cha nyama cha Ngulu Hills Ranch cha Morogoro , Dunstan Mrutu (kulia kwa Waziri mkuu) ) wakati walipokitembelea kiwanda hicho Agosti 3, 2016
  Watoto na wananchi wa kijiji cha Majichumvi  wilayani Mvomero wakionyesha mabango wakati WaziriMkuu,Kassim Majaliwa aliposimama kijijini kwao kuwasikiliza Agosti 3, 2016.
   Waziri mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Bibi Halima Mwishehe alipouliza swali wakati Waziri Mkuu alipozungumza na Wananchi kwenye stendi mpya ya Msamvu Morogoro baada ya kukagua ujenzi wake Agosti 3, 2016.  Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dkt. Stephene Kebwe. 
  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA NA STENDI YA MSAMVU MOROGORO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top