728x90 AdSpace

 • Habari za hivi Punde

  Saturday, August 20, 2016

  WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMJULIA HALI SPIKA NDUGAI

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili  kulia) wakizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) na kewe Fatma Mganga Ndugai wakati wakati walipokwenda  nyumbani kwa Spika Salasala jijini Dar es salaam  Agosti 19, 2016  kumjulia hali.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kulia) wakiagana na Spika wa Bunge Job Ndugai  (kulia) na mkewe Fatma Mganga Ndugai (wapili kushoto) wakati walipokwenda nyumbani kwa Spika, Salasala jijini   Dar es salaam Agosti 19, 2016 kumjulia hali.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMJULIA HALI SPIKA NDUGAI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top