728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, August 28, 2016

  WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA JIJINI NAIROBI


  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta katika Mkutano wa TICAD 6  kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Kenyatta (KICC) jijini Nairobi Agosti 28, 2016.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wa nchi mbalimbali wanaoshiriki katika Mkutano wa TICAD 6 kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Kenyeatta (KICC) jijini Nairobi Agosti 28, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA JIJINI NAIROBI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top