728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, August 27, 2016

  WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA OFISA MTENDAJI MKUU WA GLOBAL FUND

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Global Fund, Mark Dybul  (kulia  kwake)  kwenye hoteli ya Windsor Agosti 26,2016.Kushoto kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Japan, Mathias Chikawe.
   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Global Fund, Mark Dybul    kwenye hoteli ya Windsor Agosti 26,2016.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Global Fund, Mark Dybul   kabla ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya Windsor jijini Nairobi, Agosti 26,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA OFISA MTENDAJI MKUU WA GLOBAL FUND Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top