728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, August 5, 2016

  waziri jafo akabidhi madawati 537 wilaya ya kisarawe.


  Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), Selemani Jafo amekabidhi madawati 537 kwa Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani.Baada ya kukabidhi madawati hayo aliongea na walimu na wanafunzi katika shule ya msingi Kibasila na kukagua ujenzi wa nyumba ya walimu na vyoo vya wanafunzi pamoja na kukagua ujenzi wa barabara inayojengwa na mfuko wa Jimbo.

  Katika picha Waziri Jafo akiwa kwenye picha pamoja na wanafunzi wa shule ya msingi Kibasila iliyopo wilayani kisarawe.

  Wakati huo huo Waziri Jafo akiwa katika picha ya pamoja na Wajasiliamali wanaopata mafunzo ya Kilimo mjini Kisarawe mara baada ya kuwatembelea

  Katika picha Waziri Jafo akiwa kwenye picha pamoja na wanafunzi wa awali na msingi shule ya msingi Kibasila iliyopo wilayani kisarawe.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: waziri jafo akabidhi madawati 537 wilaya ya kisarawe. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top