728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, August 26, 2016

  WATANZANIA WAASWA KUJITOKEZA KUONA KUPATWA KWA JUA LUJEWA MKOANI MBEYA.

  WATANZANIA waaswa kuhamasika kwa wingi kwenda Lujewa Mkoani Mbeya kuona kupatwa kwa jua mkoani humo.

  Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii (TTB), Philip Chitanga wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, amesema kuwa tukio hili hotokea kwa nadra sana mkoani humo.

  Amesema kuwa watalii wa mataifa mengine wajitokeze kwa wiki kwenda kushuhudia tukio hilo.
  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii (TTB), Philip Chitanga akizungumza na kusisitiza watanzania na watalii mbalimbali kujitokeza kwa wingi zaidi kwenda kushuhudia tukio la Kupatwa kwa Jua Lujewa Mkoani Mbeya.
  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii (TTB), Philip Chitanga akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo. Kuhusiana na watanzania wajitokeze eneo ambalo litapatwa na jua Lujewa Mkoano Mbeya. Amesema kuwa Tukio hilo hutokea kwa nadra sana hapa nchini sasa ni wakati wa watanzania kuona tukio hilo la kupatwa kwa jua. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko katika bodi ya Utalii(TTB) na kushoto ni Afisa Masoko wa Bodi ya Utalii(TTB)wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari leo.
  Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii (TTB), Philip Chitanga jijini Dar es Salaam leo.

  Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WATANZANIA WAASWA KUJITOKEZA KUONA KUPATWA KWA JUA LUJEWA MKOANI MBEYA. Rating: 5 Reviewed By: MICHUZI BLOG
  Scroll to Top