728x90 AdSpace

 • Habari za hivi Punde

  Saturday, August 27, 2016

  WAREMBO 15 WACHUANA VIKALI KUWANIA TAJI LA MISS ILALA 2016

   Warembo 15 wanaowania taji la Miss Ilala 2016, usiku wa kuamkia leo walichuana vikali katika kutafuta mrembo mwenye kipaji ambapo warembo wote walishindana kwa kuonesha vipaji vyao vya ubunifu, uchezaji muziki na uimbaji wa nyimbo mbalimbali.
   Hii ndio tano bora ya Warembo wenye Vijapaji kutoka Miss Ilala 2016.
   Washiriki mbalimbali wakionesha ujuzi wao kulingana na vipaji walivyo jaaliwa.
   Washiriki mbalimbali wakionesha ujuzi wao kulingana na vipaji walivyo jaaliwa. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI.

   Washiriki mbalimbali wakionesha ujuzi wao kulingana na vipaji walivyo jaaliwa.
   Washiriki mbalimbali wakionesha ujuzi wao kulingana na vipaji walivyo jaaliwa.
   Washiriki mbalimbali wakionesha ujuzi wao kulingana na vipaji walivyo jaaliwa.
   mashabiki wakishangilia
  Wapenzi na Mashabiki wa sanaa ya Urembo nchini wakifuatilia shindano hilo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAREMBO 15 WACHUANA VIKALI KUWANIA TAJI LA MISS ILALA 2016 Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top