728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, August 15, 2016

  WANANNCHI WA ZANZIBAR WENYE ASILI YA INDIA WASHEREHIKEA MIAKA 70 YA UHURU WA INDIA.


   Mwananchi wa Zanzibar mwenye asili ya India Bhagwanji Meisuria maarufu kwa jina la (MSHAMBA) akizungumza na waandishi wa habari juu ya namna ya Amani iliyopo Nchini kwa ujumla.
   Balozi Mdogo wa India Tek Chand Barupal akisalimiana na Wananchi wenye asili ya India wanaoishi Zanzibar katika maadhimisho ya kutimia miaaka 70 ya Taifa hilo iliofanyika katika Ofisi ya Balozi Mdogo wa India iliopo Migombani Zanzibar. 
  Balozi Mdogo wa India Tek Chand Barupal akiwahutubia wananchi wa Zanzibar wenye asili ya India waliohudhuria maadhimisho ya miaka 70 yaliofanyika Ofisi ndogo iliopo Migombani Zanzibar.
  PICHA ZOTE NA ABDALLA OMAR –HABARI MAELEZO ZANZIBAR.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WANANNCHI WA ZANZIBAR WENYE ASILI YA INDIA WASHEREHIKEA MIAKA 70 YA UHURU WA INDIA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top