728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, August 5, 2016

  WALIMBWENDE 11 KUPANDA JUKWAANI KUWANIA TAJI LA MISS KANDA YA MASHARIKI 2016

  WANYANGE 11 watakao panda katika jukwaa la Nashera Hotel mjini Morogoro kesho kuwania taji la Miss Kanda ya Mashariki 2016 wakiwa katika pozi tofauti katika kambi yao mjini Morogoro. Warembo hao ni kutoka mikoa ya Pwani, Lindi, Mtwara na Morogoro.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WALIMBWENDE 11 KUPANDA JUKWAANI KUWANIA TAJI LA MISS KANDA YA MASHARIKI 2016 Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top