728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, August 28, 2016

  UZINDUZI WA DKT.AMON MKOGA FOUNDATION SOUTHERN SUN HOTEL TAREHE 25/8/2016


  Mwenyekiti wa Dr.Amon Mkoga Foundation na Bw.Habibu Msammy(Mwenye miwani)mwakilishi wa Katibu mkuu wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo pembeni ni Bw.Basel Haydar Meneja wa shirika la Ndege la Qatar nchini Tanzania ambao ni wadhamini wa kuu wa mradi wa madawati uitwao Simama kaa desk campaign ambao unaendeshwa na Taasisi hiyo.

  Mradi huo mwenye lengo la kupunguza uhaba wa madawati unadhaminiwa pia na Halotel,Empress Furniture,TIRA,CBA Bank,Insignia,tayari mikoa ya Tabora na Pwani wameanza kufaidi matunda ya mradi huo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: UZINDUZI WA DKT.AMON MKOGA FOUNDATION SOUTHERN SUN HOTEL TAREHE 25/8/2016 Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top